CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 4
b) Je, mbwa hutusaidia vipi?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi hii ujibu maswali.
Wanyama
Yohana ana wanyama watatu. Yeye ana paka wawili na mbwa mmoja. Paka wake wanaitwa Fifi na Fofoo. Mbwa wake anaitwa Rolo. Yeye huwapa wanyama wake chakula na maji safi.
b) Je, mbwa hutusaidia vipi?
Answer
hulinda nyumba
Mbwa hulinda nyumba na kutuonya hatari ikija.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.