CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 5
c) Yohana huwatunza wanyama wake vipi?
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi hii ujibu maswali.
Wanyama
Yohana ana wanyama watatu. Yeye ana paka wawili na mbwa mmoja. Paka wake wanaitwa Fifi na Fofoo. Mbwa wake anaitwa Rolo. Yeye huwapa wanyama wake chakula na maji safi.
c) Yohana huwatunza wanyama wake vipi?
Answer
huwapa chakula na maji safi
"Yeye huwapa wanyama wake chakula na maji safi."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.