CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 8
a) Taja rangi mbili zilizotajwa kwenye hadithi.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi hii ujibu maswali.
Baiskeli mpya
Gyan ana baiskeli mpya. Baiskeli yake ina rangi nyekundu, na bendera nyeupe. Gyan anajua kuendesha baiskeli yake. Yeye huiendesha baada ya shule.
a) Taja rangi mbili zilizotajwa kwenye hadithi.
Answer
nyekundu na nyeupe
Hadithi inataja rangi nyekundu na nyeupe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.