CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 11
a) Daniella anaishi na ___
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma hadithi hii ujibu maswali.
Familia yangu
Jina langu ni Daniella. Mimi ninaishi na baba na mama yangu. Nina kaka mmoja ambaye anaitwa Wambua. Nina dada wawili ambao ni Talia na Becky. Ninaipenda familia yangu sana.
a) Daniella anaishi na ____
Answer
baba na mama yake
"Mimi ninaishi na baba na mama yangu."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.