naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 1

a) Bahati na Rita hufanya nini pamoja?

From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (SET 6) — Sehemu B: Ufahamu, Lugha na Kuandika · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Soma hadithi hii ujibu maswali.
Mimi na wenzangu
Jina langu ni Bahati. Nina umri wa miaka sita. Niko gredi ya kwanza. Rafiki yangu anaitwa Rita. Sisi hucheza pamoja. Tunapenda mchezo wa kandanda.

a) Bahati na Rita hufanya nini pamoja?

Answer

hucheza

"Sisi hucheza pamoja."

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test