CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam: Term 2 Endterm Assessment
Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · Term 2 Endterm Assessment · 30 questions
Topics: Mwili Wangu, Tarakimu, Mimi na Wenzangu, Darasani.
All 30 questions with answers
- Question 1: Tunatumia sehemu gani ya mwili kutembea?Answer: miguu
- Question 2: Ukitaka kunusa utatumia sehemu gani ya mwili?Answer: pua
- Question 3: Taja vifaa viwili unavyoweza kutumia kuosha mwili wako.Answer: sabuni na maji
- Question 4: Ni nini hutumika kuchana nywele?Answer: kitana
- Question 5: Soma hadithi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:Answer: The words to read: Bi Oti aliishi katika mji wa Oka. Yeye alikuwa tajiri sana. Alikuwa na duka kubwa la…
- Question 6: ___ ni mdudu.Answer: B. kipepeo
- Question 7: Ana ___ za kupendeza.Answer: rangi
- Question 8: Taja rangi mbili za mabawa ya kipepeo.Answer: nyeupe na nyeusi
- Question 9: Ni nani anapenda kucheza na kipepeo?Answer: A. Watoto
- Question 10: ___ ni mnyama mrefu.Answer: B. Twiga
- Question 11: Taja sehemu ya mwili wa twiga iliyo ndefu.Answer: B. shingo
- Question 12: Ana madoadoa ya hudhurungi na ___.Answer: A. kijivu
- Question 13: Watoto wa twiga wanaitwaje? Taja majina yao mawili.Answer: Tegi na Tugi
- Question 14: Angalia picha. Vitu hivi ni vingapi?Answer: A. mbili
- Question 15: Angalia picha. Vitu hivi ni vingapi?Answer: B. nne
- Question 16: Nambari 9 kwa Kiswahili ni ___.Answer: C. tisa
- Question 17: Angalia picha. Vitu hivi ni vingapi?Answer: D. sita
- Question 18: Chagua jibu sahihi: Kitabu ___ kimepotea.Answer: A. kizuri
- Question 19: Chagua jibu sahihi: Magari ___ yamenunuliwa.Answer: A. mazuri
- Question 20: Chagua jibu sahihi: Chakula ___ kimetupwa.Answer: B. kibaya
- Question 21: Tazama picha. Mtoto anafanya nini?Answer: B. kuchana nywele
- Question 22: Tazama picha. Mtoto anafanya nini?Answer: C. kukata kucha
- Question 23: Tazama picha. Mtoto anafanya nini?Answer: A. kunawa uso
- Question 24: Tazama picha. Mtoto anafanya nini?Answer: D. kunawa mikono
- Question 25: Jaza nafasi ili kuunda neno sahihi linalolingana na picha: "M___ji"Answer: maji
- Question 26: Jaza nafasi ili kuunda neno sahihi linalolingana na picha: "___ga"Answer: kuoga
- Question 27: Jaza nafasi ili kuunda neno sahihi linalolingana na picha: "S___b___ni"Answer: sabuni
- Question 28: Kanusha sentensi (mfano: Mimi ninacheza → Mimi sichezi): "Mimi ninaoga" → Mimi ___.Answer: siogi
- Question 29: Kanusha sentensi (mfano: Mimi ninacheza → Mimi sichezi): "Mimi ninacheza" → Mimi ___.Answer: sichezi
- Question 30: Kanusha sentensi (mfano: Mimi ninacheza → Mimi sichezi): "Mimi ninatembea" → Mimi ___.Answer: sitembei