CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam · Question 9
Ni nani anapenda kucheza na kipepeo?
From Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu: Kipepeo
Kipepeo ni mdudu. Yeye ni maridadi sana. Ana rangi ya kupendeza. Mabawa yake ni ya rangi kama vile nyeupe, nyeusi na manjano. Watoto wengi wanapenda kucheza naye.
Kipepeo ni mdudu. Yeye ni maridadi sana. Ana rangi ya kupendeza. Mabawa yake ni ya rangi kama vile nyeupe, nyeusi na manjano. Watoto wengi wanapenda kucheza naye.
Ni nani anapenda kucheza na kipepeo?
- AWatoto
- BWazazi
Answer
A. Watoto
The correct answer is "Watoto".