naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam · Question 11

Taja sehemu ya mwili wa twiga iliyo ndefu.

From Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · 1 mark · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu

Kifungu cha Ufahamu: Twiga

Twiga ni mnyama mrefu. Ana shingo ndefu sana. Ana madoadoa ya rangi ya kijivu na hudhurungi. Watu hutembea kuja kumwona. Twiga hutembea kwa maringo sana. Anapenda watoto wake wanaoitwa Tegi na Tugi. Watoto wake ni wasafi sana.

Taja sehemu ya mwili wa twiga iliyo ndefu.

  1. Amasikio
  2. Bshingo

Answer

B. shingo

The correct answer is "shingo".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test