CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam · Question 13
Watoto wa twiga wanaitwaje? Taja majina yao mawili.
From Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · 2 marks · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu: Twiga
Twiga ni mnyama mrefu. Ana shingo ndefu sana. Ana madoadoa ya rangi ya kijivu na hudhurungi. Watu hutembea kuja kumwona. Twiga hutembea kwa maringo sana. Anapenda watoto wake wanaoitwa Tegi na Tugi. Watoto wake ni wasafi sana.
Twiga ni mnyama mrefu. Ana shingo ndefu sana. Ana madoadoa ya rangi ya kijivu na hudhurungi. Watu hutembea kuja kumwona. Twiga hutembea kwa maringo sana. Anapenda watoto wake wanaoitwa Tegi na Tugi. Watoto wake ni wasafi sana.
Watoto wa twiga wanaitwaje? Taja majina yao mawili.
Answer
Tegi na Tugi
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.