CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam · Question 8
Taja rangi mbili za mabawa ya kipepeo.
From Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · 2 marks · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Kifungu cha Ufahamu: Kipepeo
Kipepeo ni mdudu. Yeye ni maridadi sana. Ana rangi ya kupendeza. Mabawa yake ni ya rangi kama vile nyeupe, nyeusi na manjano. Watoto wengi wanapenda kucheza naye.
Kipepeo ni mdudu. Yeye ni maridadi sana. Ana rangi ya kupendeza. Mabawa yake ni ya rangi kama vile nyeupe, nyeusi na manjano. Watoto wengi wanapenda kucheza naye.
Taja rangi mbili za mabawa ya kipepeo.
Answer
nyeupe na nyeusi
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.