naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam · Question 5

Soma hadithi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:

From Kiswahili — Term 2 Endterm Assessment · 5 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)

Bi Oti aliishi katika mji wa Oka. Yeye alikuwa tajiri sana. Alikuwa na duka kubwa la viatu. Aliuza viatu vya watoto na watu wazima. Aliuza viatu hivyo kwa bei nafuu. Wateja wengi walikuja kwa duka lake. Alipata pesa nyingi.

Soma hadithi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:

Answer

The words to read: Bi Oti aliishi katika mji wa Oka. Yeye alikuwa tajiri sana. Alikuwa na duka kubwa la viatu. Aliuza viatu vya watoto na watu wazima. Aliuza viatu hivyo kwa bei nafuu. Wateja wengi walikuja kwa duka lake. Alipata pesa nyingi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test