naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 5

Bi. Rukia amedhihirisha vipi ya kwamba ana adabu? (al. 1)

From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali.
(Wakati wa macheo ambapo Tesa na Bi. Rukia wanakutana barabarani)
Tesa: Shikamoo Bi. Rukia?
Bi. Rukia: Marahaba mwanangu, hujambo?
Tesa: Sijambo bibi. Je nikusaidie vipi?
Bi. Rukia: Mwanangu nitafurahia sana endapo utanivusha barabarani.
Tesa: Bila shaka nyanya. (Akimshika mkono) Twende taratibu.
Bi. Rukia: (Kwa furaha). Asante sana mwanangu kwa kunivusha.
Tesa: Karibu bibi. (Kwa upole)
Bi. Rukia: Kwaheri mwanangu.
Tesa: Ya kuonana nyanya. (Anaelekea shuleni)

5. Bi. Rukia amedhihirisha vipi ya kwamba ana adabu? (al. 1)

Answer

Bi. Rukia alitumia maneno ya heshima na kumshukuru Tesa kwa kumvusha barabarani.

Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test