CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 10
Mchezo unaozungumziwa huchezwa na wachezaji wangapi? (al. 1)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu kisha ujibu maswali:
Uwanja ulikuwa umefurika pomoni alasiri hiyo. Timu ya Nguvu na ile ya Thabiti zingepimana nguvu. Jogoo wa soko kijijini Tushirikiane angejulikana. Wengine walisema kuwa mbivu na mbichi zingejulikana mnamo siku hiyo. Siku ya ndovu kumla mwanawe.
Mashabiki na mashabiki walikuwa na furaha ya buraha. Wachezaji nao waliteremka ugani kwa mbwembwe za kipekee. Kipenga cha mwisho kilipopulizwa, mabao yalikuwa manne kwa matatu. Wananguvu walituzwa kwa kuibuka washindi.

10. Mchezo unaozungumziwa huchezwa na wachezaji wangapi? (al. 1)
Answer
Wachezaji 11 kwa kila timu, yaani 22 uwanjani.
Mfano wa jibu sahihi: Wachezaji 11 kwa kila timu, yaani 22 uwanjani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Je, ni timu gani iliyoshinda? (al. 1)Question 11
- Ni mabao mangapi yaliyoshuhudiwa ugani? (al. 1)Question 12
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 13
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 14
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 15
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 16