CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 15
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
Habari za kufa ___13___ ___14___ kama moto nyikani msimu wa ___15___. Vyombo vya ___16___ vilitangaza ajali hiyo ya ndege. Ajali ___17___ katika maeneo ya misitu na milima. Zenyewe zilikuwa ni habari za ___18___ kupita ___19___.

15.
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
- AA. kipupwe
- BB. vuli
- CC. mchoo
- DD. kiangazi
Answer
D. D. kiangazi
Jibu sahihi: D. kiangazi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 16
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 17
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 18
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 19
- Andika sentensi ifuatayo upya katika mpangilio na uakifishaji sahihi wa usemi halisi. "Njoo hapa," Mwalimu alimwita…Question 20
- Andika matumizi ya vinukuu. (al. 1)Question 21