naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 19

Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.

From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi

Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
Habari za kufa ___13___ ___14___ kama moto nyikani msimu wa ___15___. Vyombo vya ___16___ vilitangaza ajali hiyo ya ndege. Ajali ___17___ katika maeneo ya misitu na milima. Zenyewe zilikuwa ni habari za ___18___ kupita ___19___.

19.
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.

  1. AA. kiasi
  2. BB. zaidi
  3. CC. kiwango
  4. DD. yote

Answer

A. A. kiasi

Jibu sahihi: A. kiasi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test