CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 23
Tambua maneno yaliyopigwa mstari: Nyanya hizi zinakatika, zile ni afadhali. Hizi : ___ Zile : ___ (al. 2)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Sarufi
23. Tambua maneno yaliyopigwa mstari:
Nyanya hizi zinakatika, zile ni afadhali.
Hizi : ___________________________________________________
Zile : ___________________________________________________ (al. 2)
Answer
Hizi ni kivumishi kiashiria; zile ni kiwakilishi kiashiria.
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tunga sentensi ukitumia kivumishi kiashiria kisisitizi. (al. 2)Question 24
- Andika udogo wa sentensi: Ngoma ilitumiwa na mtoto huyu. (al. 2)Question 25
- Akifisha: ziwa victoria ikichafuka huadhiri samaki utalii na wavuvi wa kisumu (al. 2)Question 26
- Andika majibu ya maamkizi yafuatayo: a) Mwaambaje? ___ b) Makiwa? ___ (al. 2)Question 27
- Neno "Dharau" linapatikana katika ngeli gani? (al. 1)Question 28
- Tunga sentensi yenye kitenzi kikuu na kitenzi kisaidizi. (al. 2)Question 29