CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 27
Andika majibu ya maamkizi yafuatayo: a) Mwaambaje? ___ b) Makiwa? ___ (al. 2)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Sarufi
27. Andika majibu ya maamkizi yafuatayo:
a) Mwaambaje? ___________________________________________________
b) Makiwa? ___________________________________________________ (al. 2)
Answer
a) Hatujambo. b) Yaliyoondoka.
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Neno "Dharau" linapatikana katika ngeli gani? (al. 1)Question 28
- Tunga sentensi yenye kitenzi kikuu na kitenzi kisaidizi. (al. 2)Question 29
- Andika habari kuu inayojitokeza katika kifungu hiki.Question 30
- Andika virutubishi vitatu vikuu. (i) ___ (ii) ___ (iii) ___Question 31
- Fupisha kifungu hiki kwa kutumia sentensi mbili.Question 32
- Andika mifano ya sentensi za mbinu za lugha zifuatazo: A) Tashihisi: ___ B) Kinaya: ___Question 33