CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 30
Andika habari kuu inayojitokeza katika kifungu hiki.
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufupisho na Kusoma kwa Mapana
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Lishe bora ni hali ya mlo wa kutosha na unaofaa kuwezesha mwili kukua vyema na kuwa na siha na uwezo wa kupigana na maradhi. Lishe bora huwa na protini, vitamini na wanga.
Protini ni viinilishe vinavyopatikana katika vyakula kama vile samaki na mayai. Vitamini hupatikana katika vyakula kama vile mboga na matunda. Wanga nayo hutupa nguvu mwilini. Hupatikana katika vyakula mbalimbali kama vile sima, mihogo na wimbi.

30. Andika habari kuu inayojitokeza katika kifungu hiki.
Answer
Kifungu kinaeleza vipengele na umuhimu wa lishe bora kwa ukuaji, afya na kinga dhidi ya maradhi.
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika virutubishi vitatu vikuu. (i) ___ (ii) ___ (iii) ___Question 31
- Fupisha kifungu hiki kwa kutumia sentensi mbili.Question 32
- Andika mifano ya sentensi za mbinu za lugha zifuatazo: A) Tashihisi: ___ B) Kinaya: ___Question 33
- Eleza maana ya visaasili.Question 34
- Taja sifa zozote mbili za visaasili. a) ___ b) ___Question 35
- Tamthilia ni nini?Question 36