CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 36
Tamthilia ni nini?
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Fasihi, Fasihi Simulizi
36. Tamthilia ni nini?
Answer
Tamthilia ni utungo wa fasihi andishi uliokusudiwa kuigizwa jukwaani kwa njia ya mazungumzo ya wahusika.
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Taja aina mbili kuu vya fasihi.Question 37
- Shairi hili linahusu nini? (al. 1)Question 38
- Shairi ulilolisoma lina mishororo mingapi? (al. 1)Question 39
- Ni nini ukanusho wa umekula kwa mujibu wa shairi ulilolisoma? (al. 1)Question 40
- Neno halahala limetumiwa kwenye shairi. Linamaanisha nini? (al. 1)Question 41
- Shairi ulilolisoma ni la bahari gani? (al. 1)Question 42