naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 38

Shairi hili linahusu nini? (al. 1)

From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali 38 - 42
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha
Eti moto nimewasha, ninasema sijawasha
Sidhani nimekupisha, mwenzio ijakupisha
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha

Wewe pia halahala, wape kitendo badala
Na ikiwa umelala, sema kuwa hujalala
Hata kama umekula, wajibu kuwa hujala
Wewe pia halahala, wape kitendo badala

Yeye naye amesema, kupata wake ujuzi
Kusoma amesimama, kujasimama ni wazi
Akaongeza yuaja, haji kamwe tangu juzi
Yeye naye amesema, katupa wake ujuzi.

38. Shairi hili linahusu nini? (al. 1)

Answer

Shairi linahusu kukanusha mambo na kuwahimiza watu watende badala ya kusema tu.

Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test