CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 41
Neno halahala limetumiwa kwenye shairi. Linamaanisha nini? (al. 1)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali 38 - 42
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha
Eti moto nimewasha, ninasema sijawasha
Sidhani nimekupisha, mwenzio ijakupisha
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha
Wewe pia halahala, wape kitendo badala
Na ikiwa umelala, sema kuwa hujalala
Hata kama umekula, wajibu kuwa hujala
Wewe pia halahala, wape kitendo badala
Yeye naye amesema, kupata wake ujuzi
Kusoma amesimama, kujasimama ni wazi
Akaongeza yuaja, haji kamwe tangu juzi
Yeye naye amesema, katupa wake ujuzi.
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha
Eti moto nimewasha, ninasema sijawasha
Sidhani nimekupisha, mwenzio ijakupisha
Mimi naweza kanusha, nataka kuwafaidisha
Wewe pia halahala, wape kitendo badala
Na ikiwa umelala, sema kuwa hujalala
Hata kama umekula, wajibu kuwa hujala
Wewe pia halahala, wape kitendo badala
Yeye naye amesema, kupata wake ujuzi
Kusoma amesimama, kujasimama ni wazi
Akaongeza yuaja, haji kamwe tangu juzi
Yeye naye amesema, katupa wake ujuzi.
41. Neno halahala limetumiwa kwenye shairi. Linamaanisha nini? (al. 1)
Answer
Halahala: fanya haraka au zingatia kwa makini.
Mfano wa jibu sahihi: Halahala: fanya haraka au zingatia kwa makini.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Shairi ulilolisoma ni la bahari gani? (al. 1)Question 42
- Je, Bi. Rukia na Tesa walikutana saa ngapi? (al. 1)Question 1
- Tesa alikuwa akienda wapi? (al. 1)Question 2
- Macheo ni wakati upi wa siku? (al. 1)Question 3
- Andika kisawe cha neno lililopigwa mstari (nyanya). (al. 1)Question 4
- Bi. Rukia amedhihirisha vipi ya kwamba ana adabu? (al. 1)Question 5