CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 4
Andika kisawe cha neno lililopigwa mstari (nyanya). (al. 1)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali.
(Wakati wa macheo ambapo Tesa na Bi. Rukia wanakutana barabarani)
Tesa: Shikamoo Bi. Rukia?
Bi. Rukia: Marahaba mwanangu, hujambo?
Tesa: Sijambo bibi. Je nikusaidie vipi?
Bi. Rukia: Mwanangu nitafurahia sana endapo utanivusha barabarani.
Tesa: Bila shaka nyanya. (Akimshika mkono) Twende taratibu.
Bi. Rukia: (Kwa furaha). Asante sana mwanangu kwa kunivusha.
Tesa: Karibu bibi. (Kwa upole)
Bi. Rukia: Kwaheri mwanangu.
Tesa: Ya kuonana nyanya. (Anaelekea shuleni)

4. Andika kisawe cha neno lililopigwa mstari (nyanya). (al. 1)
Answer
Bibi.
Mfano wa jibu sahihi: Bibi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Bi. Rukia amedhihirisha vipi ya kwamba ana adabu? (al. 1)Question 5
- Je, maneno ya adabu huitwaje katika Kiswahili? (al. 1)Question 6
- Timu zipi zinazozungumziwa katika kifungu? (al. 2)Question 7
- Mchezo huu uliandaliwa wapi? (al. 1)Question 8
- Ina maana gani kusema "kujaa pomoni"? (al. 1)Question 9
- Mchezo unaozungumziwa huchezwa na wachezaji wangapi? (al. 1)Question 10