CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 8
Mchezo huu uliandaliwa wapi? (al. 1)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu kisha ujibu maswali:
Uwanja ulikuwa umefurika pomoni alasiri hiyo. Timu ya Nguvu na ile ya Thabiti zingepimana nguvu. Jogoo wa soko kijijini Tushirikiane angejulikana. Wengine walisema kuwa mbivu na mbichi zingejulikana mnamo siku hiyo. Siku ya ndovu kumla mwanawe.
Mashabiki na mashabiki walikuwa na furaha ya buraha. Wachezaji nao waliteremka ugani kwa mbwembwe za kipekee. Kipenga cha mwisho kilipopulizwa, mabao yalikuwa manne kwa matatu. Wananguvu walituzwa kwa kuibuka washindi.

8. Mchezo huu uliandaliwa wapi? (al. 1)
Answer
Mchezo uliandaliwa kijijini Tushirikiane.
Mfano wa jibu sahihi: Mchezo uliandaliwa kijijini Tushirikiane.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ina maana gani kusema "kujaa pomoni"? (al. 1)Question 9
- Mchezo unaozungumziwa huchezwa na wachezaji wangapi? (al. 1)Question 10
- Je, ni timu gani iliyoshinda? (al. 1)Question 11
- Ni mabao mangapi yaliyoshuhudiwa ugani? (al. 1)Question 12
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 13
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 14