naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 7

Timu zipi zinazozungumziwa katika kifungu? (al. 2)

From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu kisha ujibu maswali:
Uwanja ulikuwa umefurika pomoni alasiri hiyo. Timu ya Nguvu na ile ya Thabiti zingepimana nguvu. Jogoo wa soko kijijini Tushirikiane angejulikana. Wengine walisema kuwa mbivu na mbichi zingejulikana mnamo siku hiyo. Siku ya ndovu kumla mwanawe.

Mashabiki na mashabiki walikuwa na furaha ya buraha. Wachezaji nao waliteremka ugani kwa mbwembwe za kipekee. Kipenga cha mwisho kilipopulizwa, mabao yalikuwa manne kwa matatu. Wananguvu walituzwa kwa kuibuka washindi.

7. Timu zipi zinazozungumziwa katika kifungu? (al. 2)

Answer

Timu ya Nguvu na timu ya Thabiti.

Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test