CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 13
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
Habari za kufa ___13___ ___14___ kama moto nyikani msimu wa ___15___. Vyombo vya ___16___ vilitangaza ajali hiyo ya ndege. Ajali ___17___ katika maeneo ya misitu na milima. Zenyewe zilikuwa ni habari za ___18___ kupita ___19___.

13.
Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.
- AA. chake
- BB. kwake
- CC. hicho
- DD. yake
Answer
B. B. kwake
Jibu sahihi: B. kwake.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 14
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 15
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 16
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 17
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 18
- Chagua jibu mwafaka kwa yale uliyopewa ujaze nafasi zilizoachwa.Question 19