CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 32
Fupisha kifungu hiki kwa kutumia sentensi mbili.
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufupisho na Kusoma kwa Mapana
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Lishe bora ni hali ya mlo wa kutosha na unaofaa kuwezesha mwili kukua vyema na kuwa na siha na uwezo wa kupigana na maradhi. Lishe bora huwa na protini, vitamini na wanga.
Protini ni viinilishe vinavyopatikana katika vyakula kama vile samaki na mayai. Vitamini hupatikana katika vyakula kama vile mboga na matunda. Wanga nayo hutupa nguvu mwilini. Hupatikana katika vyakula mbalimbali kama vile sima, mihogo na wimbi.

32. Fupisha kifungu hiki kwa kutumia sentensi mbili.
Answer
Lishe bora ni mlo wenye protini, vitamini na wanga unaosaidia mwili kukua na kujikinga na maradhi. Viinilishe hivi hupatikana katika vyakula mbalimbali kama samaki, mboga, matunda na nafaka.
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika mifano ya sentensi za mbinu za lugha zifuatazo: A) Tashihisi: ___ B) Kinaya: ___Question 33
- Eleza maana ya visaasili.Question 34
- Taja sifa zozote mbili za visaasili. a) ___ b) ___Question 35
- Tamthilia ni nini?Question 36
- Taja aina mbili kuu vya fasihi.Question 37
- Shairi hili linahusu nini? (al. 1)Question 38