naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 31

Andika virutubishi vitatu vikuu. (i) ___ (ii) ___ (iii) ___

From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufupisho na Kusoma kwa Mapana

Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Lishe bora ni hali ya mlo wa kutosha na unaofaa kuwezesha mwili kukua vyema na kuwa na siha na uwezo wa kupigana na maradhi. Lishe bora huwa na protini, vitamini na wanga.

Protini ni viinilishe vinavyopatikana katika vyakula kama vile samaki na mayai. Vitamini hupatikana katika vyakula kama vile mboga na matunda. Wanga nayo hutupa nguvu mwilini. Hupatikana katika vyakula mbalimbali kama vile sima, mihogo na wimbi.

31. Andika virutubishi vitatu vikuu.
(i) ___________________________________________________
(ii) ___________________________________________________
(iii) ___________________________________________________

Answer

Protini, vitamini na wanga.

Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test