CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20
Andika sentensi ifuatayo upya katika mpangilio na uakifishaji sahihi wa usemi halisi. "Njoo hapa," Mwalimu alimwita mwanafunzi. (al. 2)
From Test 81 — Kiswahili Opener Term 3 2026 · 2 marks · Topic: Sarufi
20. Andika sentensi ifuatayo upya katika mpangilio na uakifishaji sahihi wa usemi halisi.
"Njoo hapa," Mwalimu alimwita mwanafunzi. (al. 2)
Answer
Mwalimu alimwita mwanafunzi, "Njoo hapa."
Mfano wa jibu si lazima ufanane neno kwa neno; jibu lingine sahihi likubalike.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika matumizi ya vinukuu. (al. 1)Question 21
- Andika wingi wa sentensi hii: Mwanaume huyo anafuga mbuzi mwenye afya. (al. 2)Question 22
- Tambua maneno yaliyopigwa mstari: Nyanya hizi zinakatika, zile ni afadhali. Hizi : ___ Zile : ___ (al. 2)Question 23
- Tunga sentensi ukitumia kivumishi kiashiria kisisitizi. (al. 2)Question 24
- Andika udogo wa sentensi: Ngoma ilitumiwa na mtoto huyu. (al. 2)Question 25
- Akifisha: ziwa victoria ikichafuka huadhiri samaki utalii na wavuvi wa kisumu (al. 2)Question 26