CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 12
MATUMIZI YA LUGHA / SARUFI a) Eleza sifa bainifu za sauti /j/. (alama 2)
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sauti
3. MATUMIZI YA LUGHA / SARUFI
a) Eleza sifa bainifu za sauti /j/. (alama 2)
Answer
Ni kipasuo-kwamizwa (kizuio-kikwamizi), ghuna, cha kaakaa gumu.
Jinsi na mahali inapotamkwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- b) Fafanua maana ya shadda. (alama 2)Question 13
- c) Bainisha mofimu - LI- katika tungo hii. AlivyolikimbiliaQuestion 14
- d) Bainisha shamirisho kipozi na kitondo katika sentensi hii. Nyanya ametengenezewa kitanda kizuri na mjukuu wake.Question 15
- e) Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi. Bakari, Roda na Hirsi wamefurahi kupita mtihani.Question 16
- f) Kanusha sentensi ifuatayo: Kuliko na vita kwahitaji amani.Question 17
- g) Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi. Msomi hakutuzwa siku hiyo.Question 18