CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 17
f) Kanusha sentensi ifuatayo: Kuliko na vita kwahitaji amani.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
f) Kanusha sentensi ifuatayo:
Kuliko na vita kwahitaji amani.
Answer
Kusiko na vita hakuhitaji amani.
Kuliko → kusiko; kwahitaji → hakuhitaji.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- g) Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi. Msomi hakutuzwa siku hiyo.Question 18
- h) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya parandesi.Question 19
- i) Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo: Leteni!Question 20
- j. Eleza matumizi matatu ya kiambishi “ku”Question 21
- K. Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza. i) -La ii) -Nywa iii) -FaQuestion 22
- L. Andika upya sentensi kwa kutumia ‘O’ rejeshi tamati. Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.Question 23