CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 16
e) Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi. Bakari, Roda na Hirsi wamefurahi kupita mtihani.
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 4 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uchanganuzi wa Sentensi
e) Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi.
Bakari, Roda na Hirsi wamefurahi kupita mtihani.
Answer
S → KN + KT. KN → N (Bakari) + N (Roda) + U (na) + N (Hirsi). KT → T (wamefurahi) + KT [T (kupita) + N (mtihani)].
Anza na S, gawa kuwa KN (wahusika) na KT (wamefurahi kupita mtihani).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- f) Kanusha sentensi ifuatayo: Kuliko na vita kwahitaji amani.Question 17
- g) Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi. Msomi hakutuzwa siku hiyo.Question 18
- h) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya parandesi.Question 19
- i) Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo: Leteni!Question 20
- j. Eleza matumizi matatu ya kiambishi “ku”Question 21
- K. Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza. i) -La ii) -Nywa iii) -FaQuestion 22