CBC Grade 8 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 14
c) Bainisha mofimu - LI- katika tungo hii. Alivyolikimbilia
From Kiswahili — End Term One Assessment 2025 (Set 6) · 3 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Mofimu
c) Bainisha mofimu - LI- katika tungo hii.
Alivyolikimbilia
Answer
a-li-vyo-li-kimbi-li-a: -li- ya kwanza ni ya wakati uliopita; -li- ya pili ni ya mtendwa (ngeli ya LI-YA); -li- ya tatu ni kiendelezi cha kauli ya kutendea.
Kuna -li- tatu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- d) Bainisha shamirisho kipozi na kitondo katika sentensi hii. Nyanya ametengenezewa kitanda kizuri na mjukuu wake.Question 15
- e) Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi. Bakari, Roda na Hirsi wamefurahi kupita mtihani.Question 16
- f) Kanusha sentensi ifuatayo: Kuliko na vita kwahitaji amani.Question 17
- g) Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi. Msomi hakutuzwa siku hiyo.Question 18
- h) Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya parandesi.Question 19
- i) Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo: Leteni!Question 20