CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 34
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
“Mwalimu __26__ vitabu vya kusoma hapa na __27__ vya ziada.” Mkutubi alimweleza Zawadi. “Hakikisha kuwa __28__ kila jioni,” aliendelea mkutubi huyo. __29__ “Ninajua fika kuwa __30__ ujuzi ni bora kuliko kukaa bure.” Zawadi alijibu kwa sauti ya bashasha.
Zawadi __31__ polepole huku amekumbatia rundo la vitabu na kuelekea nyumbani. Katika majuma mawili __32__, Zawadi __33__ mausia ya mwalimu wake. Alisoma kwa makini sana __34__ kucheza ovyo, alijisomea chumbani mwake. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na tija maishani.
34. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.
- Akabla ya
- Bfauka ya
- Cndani ya
- Dbadala ya
Answer
D. badala ya
Badala ya kucheza.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Question 35
- Maneno kale na gale yana sauti zinazokaribiana. Ni neno lipi lenye sauti zinazokaribiana kimatamshi na neno fua?Question 36
- Chagua jibu lenye maana kuwa ‘Mama alimpikia mgeni chakula kwa niaba ya mtoto.’Question 37
- Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Miti mirefu ___lipandwa jana imeshika vizuri.Question 38
- Otieno alipofika kituoni alipata basi limeondoka kitambo. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua sentensi ambayo ni ukanusho wa sentensi ifuatayo: Mvua ingenyesha mashamba yangekuwa na kijani.Question 40