CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo wingi:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Udogo
43. Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi.
Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo wingi:
- AJitu lile limelala mlangoni.
- BMtu yule amelala mlangoni.
- CKijitu kile kimelala mlangoni.
- DVijitu vile vimelala mlangoni.
Answer
D. Vijitu vile vimelala mlangoni.
Udogo wingi: vijitu vile vimelala.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua kiunganishi kifaacho: Wakulima walipanda…Question 44
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni jozi ipi ya maneno ambayo ni kinyume?Question 45
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Askari alimshika mwizi naye mwizi akamshika…Question 46
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika wakati…Question 47
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua wingi wa sentensi: 'Ukuta wa nyumba yangu…Question 48
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya kuendelea?Question 49