CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua wingi wa sentensi: 'Ukuta wa nyumba yangu umebomoka.'
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
48. Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi.
Chagua wingi wa sentensi:
'Ukuta wa nyumba yangu umebomoka.'
- AKuta za nyumba zetu zimebomoka.
- BKuta za nyumba yangu zimebomoka.
- CMakuta ya nyumba zetu yamebomoka.
- DUkuta za nyumba zetu zimebomoka.
Answer
A. Kuta za nyumba zetu zimebomoka.
Ukuta → kuta (U-ZI), yangu → zetu, umebomoka → zimebomoka.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya kuendelea?Question 49
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Kukimbia ni kwa miguu ilhali kuandika ni kwa ___Question 50
- Ni tukio gani la kimsingi lililomfanya Amani awe njiani kuelekea sokoni?Question 1
- Ni methali gani inayoelezea vizuri msimamo wa Amani dhidi ya ushawishi wa Tamaa?Question 2
- Tamaa anaonekana kuwa na tabia gani kulingana na mazungumzo yake na Amani?Question 3
- Chagua mtiririko uliosahihi wa matukio katika kisa hiki: (i) Amani kumkabidhi mama mzee mkoba wake. (ii) Amani kupata…Question 4