CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 46
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Askari alimshika mwizi naye mwizi akamshika askari. Hii inamaanisha kuwa:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli
46. Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi.
Askari alimshika mwizi naye mwizi akamshika askari. Hii inamaanisha kuwa:
- Awalishikana
- Bwalishikwa
- Cwalishikika
- Dwalishikisha
Answer
A. walishikana
Kufanyiana jambo ni kauli ya kutendana: walishikana.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika wakati…Question 47
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua wingi wa sentensi: 'Ukuta wa nyumba yangu…Question 48
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya kuendelea?Question 49
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Kukimbia ni kwa miguu ilhali kuandika ni kwa ___Question 50
- Ni tukio gani la kimsingi lililomfanya Amani awe njiani kuelekea sokoni?Question 1
- Ni methali gani inayoelezea vizuri msimamo wa Amani dhidi ya ushawishi wa Tamaa?Question 2