naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45

Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni jozi ipi ya maneno ambayo ni kinyume?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume

45. Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi.
Ni jozi ipi ya maneno ambayo ni kinyume?

  1. Apenda - chukia
  2. Brafiki - mwandani
  3. Ckimbia - ruka
  4. Dmwalimu - mkufunzi

Answer

A. penda - chukia

Penda na chukia ni vinyume; rafiki na mwandani ni visawe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test