CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 42
Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Usemi wa taarifa wa sentensi: "Nitaleta matunda darasani leo," akasema Amani, ni.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi wa Taarifa
42. Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi.
Usemi wa taarifa wa sentensi:
"Nitaleta matunda darasani leo," akasema Amani, ni.
- AAmani alisema kuwa angeleta matunda darasani siku hiyo.
- BAmani alisema kuwa ataleta matunda darasani leo.
- CAmani alisema kuwa angeleta matunda darasani leo.
- DAmani alisema kuwa ataleta matunda darasani siku ile.
Answer
A. Amani alisema kuwa angeleta matunda darasani siku hiyo.
Nita- huwa ange-, na leo huwa siku hiyo.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo wingi:Question 43
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua kiunganishi kifaacho: Wakulima walipanda…Question 44
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Ni jozi ipi ya maneno ambayo ni kinyume?Question 45
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Askari alimshika mwizi naye mwizi akamshika…Question 46
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Badilisha sentensi ifuatayo iwe katika wakati…Question 47
- Kutoka swali la 36 hadi la 50, chagua jibu sahihi lililo bora zaidi. Chagua wingi wa sentensi: 'Ukuta wa nyumba yangu…Question 48