CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17
Shairi lina mishororo mitatu kwenye kila ubeti kwa hivyo ni shairi la ___ (alama 1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Fasihi, Aina za Mashairi
ZOEZI LA V: USHAIRI (alama 5)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.
Ewe simu wanifanya mraibu,
sina dakika sekunde wala nukta,
umeteka nyara, muda wangu.
Ewe simu wanifanya mpweke,
sina rafiki sina jirani wala jamaa,
umenitenga katika dunia yangu.
Ewe simu nimekata shauri,
sitaki tena utumwa kunifunga ovyo
sasa nitajiondoa, nitajikomboa
16. Shairi lina mishororo mitatu kwenye kila ubeti kwa hivyo ni shairi la ___ (alama 1)
Answer
Tathlitha.
Shairi la mishororo mitatu kila ubeti.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Mwandishi ana ujumbe gani katika utunzi wa shairi hili? (alama 2)Question 18
- Lipe shairi ulilosoma anwani. (alama 1)Question 19
- SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI LA I: INSHA Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu ukianza kwa kifungu ulichopewa.…Question 1
- SEHEMU B (ALAMA 35) 1. Kifungu hiki kimetaja wahusika wengi. Andika wawili kati ya hao. (alama 2)Question 2
- Andika mbinu zozote mbili za lugha kwa kutoa mifano. (alama 2)Question 3
- Ili kuvuta hadhira msimulizi angetumia vipengele gani? (alama 2)Question 4