CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16
Je, shairi hili lina beti ngapi? (alama 1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Fasihi, Muundo
ZOEZI LA V: USHAIRI (alama 5)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.
Ewe simu wanifanya mraibu,
sina dakika sekunde wala nukta,
umeteka nyara, muda wangu.
Ewe simu wanifanya mpweke,
sina rafiki sina jirani wala jamaa,
umenitenga katika dunia yangu.
Ewe simu nimekata shauri,
sitaki tena utumwa kunifunga ovyo
sasa nitajiondoa, nitajikomboa
15. Je, shairi hili lina beti ngapi? (alama 1)
Answer
Tatu.
Hesabu makundi ya mishororo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Shairi lina mishororo mitatu kwenye kila ubeti kwa hivyo ni shairi la ___ (alama 1)Question 17
- Mwandishi ana ujumbe gani katika utunzi wa shairi hili? (alama 2)Question 18
- Lipe shairi ulilosoma anwani. (alama 1)Question 19
- SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI LA I: INSHA Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu ukianza kwa kifungu ulichopewa.…Question 1
- SEHEMU B (ALAMA 35) 1. Kifungu hiki kimetaja wahusika wengi. Andika wawili kati ya hao. (alama 2)Question 2
- Andika mbinu zozote mbili za lugha kwa kutoa mifano. (alama 2)Question 3