CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19
Lipe shairi ulilosoma anwani. (alama 1)
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Fasihi, Anwani
ZOEZI LA V: USHAIRI (alama 5)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.
Ewe simu wanifanya mraibu,
sina dakika sekunde wala nukta,
umeteka nyara, muda wangu.
Ewe simu wanifanya mpweke,
sina rafiki sina jirani wala jamaa,
umenitenga katika dunia yangu.
Ewe simu nimekata shauri,
sitaki tena utumwa kunifunga ovyo
sasa nitajiondoa, nitajikomboa
18. Lipe shairi ulilosoma anwani. (alama 1)
Answer
Uraibu wa Simu.
Anwani hutokana na ujumbe wa shairi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI LA I: INSHA Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu ukianza kwa kifungu ulichopewa.…Question 1
- SEHEMU B (ALAMA 35) 1. Kifungu hiki kimetaja wahusika wengi. Andika wawili kati ya hao. (alama 2)Question 2
- Andika mbinu zozote mbili za lugha kwa kutoa mifano. (alama 2)Question 3
- Ili kuvuta hadhira msimulizi angetumia vipengele gani? (alama 2)Question 4
- Unafikiri iwapo mkutano wa dharura usingefanyika, ni jambo lipi lingefanyika? (alama 2)Question 5
- Toa sifa yoyote ya kifaru. (alama 2)Question 6