CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI LA I: INSHA Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu ukianza kwa kifungu ulichopewa. Ilikuwa siku tuliyokuwa tumeingoja kwa…
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 15 marks · Topic: Kuandika, Insha
SEHEMU A (Alama 15)
ZOEZI LA I: INSHA
Andika insha isiyopungua ukurasa mmoja u nusu ukianza kwa kifungu ulichopewa.
Ilikuwa siku tuliyokuwa tumeingoja kwa hamu kuu. Tulikuwa tumepangiwa ziara ya kutembelea …
Answer
Ilikuwa siku tuliyokuwa tumeingoja kwa hamu kuu. Tulikuwa tumepangiwa ziara ya kutembelea mbuga ya wanyama ya Tsavo. Kwa wiki nzima tulizungumza kuhusu ziara hiyo darasani na hata nyumbani. Kila mmoja wetu alikuwa amejiandaa: nililala mapema usiku uliotangulia ili niamke alfajiri. Saa kumi na moja asubuhi basi la shule lilikuwa tayari langoni. Mwalimu wetu wa darasa, Bi. Wanjiru, alitukumbusha kanuni za usalama: tusitoke garini, tusipige kelele na tusiwalishe wanyama. Tulipanda basi tukiimba nyimbo za furaha huku jua likichomoza polepole. Tulipofika mbugani, mwongozaji wa watalii…
Anza kwa maneno uliyopewa, eleza ziara mlizopangiwa na yaliyotokea kwa mtiririko mzuri.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B (ALAMA 35) 1. Kifungu hiki kimetaja wahusika wengi. Andika wawili kati ya hao. (alama 2)Question 2
- Andika mbinu zozote mbili za lugha kwa kutoa mifano. (alama 2)Question 3
- Ili kuvuta hadhira msimulizi angetumia vipengele gani? (alama 2)Question 4
- Unafikiri iwapo mkutano wa dharura usingefanyika, ni jambo lipi lingefanyika? (alama 2)Question 5
- Toa sifa yoyote ya kifaru. (alama 2)Question 6
- Je, hali ya familia ya Katana ni gani? (alama 2)Question 7