CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Neno lipi lina maana tofauti na mengine?
From Test 14 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Neno lipi lina maana tofauti na mengine?
- AMfuko
- BBegi
- CMkoba
- DSanduku
Answer
D. Sanduku
Mfuko, Begi na Mkoba yote yanamaanisha "mfuko wa kubebea vitu"; "Sanduku" lina maana tofauti -- ni chombo kigumu cha kuhifadhia vitu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA PILI: KUANDIKA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA KUPANDA MITI SHULENI.Question 30
- Soma mazungumzo haya kisha ujibu maswali. (Ni darasani ambapo wanafunzi wametulia kama maji mtungini. Ghafla mwalimu…Question 1
- Ni kweli kusema kuwa;Question 2
- Kamusi huonyesha nini?Question 3
- Chagua madhara ya intaneti;Question 4
- Kamusi ina manufaa gani kwa mwanafunzi?Question 5