CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 3
Kitenzi ni neno linaloonyesha:
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitenzi
3. Kitenzi ni neno linaloonyesha:
- AJina la kitu
- BJina la mtu
- CTendo au kitendo
- DJina la mahali
Answer
C. Tendo au kitendo
Kitenzi huonyesha tendo, kama kusoma, kucheza au kula.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi kati ya sentensi zifuatazo ni sahihi kisarufi?Question 4
- Katika sentensi "Juma anasoma kitabu," neno "anasoma" ni:Question 5
- Andika nomino mbili zinazoashiria watu.Question 6
- Toa maana ya methali "Haraka haraka haina baraka."Question 7
- Taja faida mbili za kusoma vitabu.Question 8
- Eleza maana ya neno "mazingira."Question 9