CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 5
Katika sentensi "Juma anasoma kitabu," neno "anasoma" ni:
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
5. Katika sentensi "Juma anasoma kitabu," neno "anasoma" ni:
- ANomino
- BKitenzi
- CKielezi
- DKivumishi
Answer
B. Kitenzi
"Anasoma" linaonyesha tendo analofanya Juma, kwa hivyo ni kitenzi.