CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 9
Eleza maana ya neno "mazingira."
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Msamiati, Maana ya Maneno
9. Eleza maana ya neno "mazingira."
Answer
Mazingira ni hali inayotuzunguka, kama vile hewa, maji, mimea na wanyama.
Mazingira ni kila kitu kinachotuzunguka.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi mbili ukitumia kivumishi.Question 10
- Asha alienda wapi?Question 11
- Ni nini kilichoonyesha kuwa Asha alipenda kilimo?Question 12
- Kwa nini mama yake alimfundisha kuhusu mahitaji ya mimea?Question 13
- Kilimo kina faida gani kwa familia?Question 14
- Ni mambo gani muhimu yanayosaidia mimea kukua?Question 15