CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 14
Kilimo kina faida gani kwa familia?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 3 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali:
Jana asubuhi, Asha alienda shambani na mama yake. Walipanda mahindi na kumwagilia maji.
Asha alifurahia kazi hiyo na alijifunza umuhimu wa kilimo. Kilimo siyo tu chanzo cha chakula bali pia ni njia ya kuendeleza uchumi wa familia.
Mama yake alimfundisha kuwa mimea inahitaji maji, mwangaza wa jua, na udongo wenye rutuba ili ikue vizuri.
Wakati wa mchana, walipumzika chini ya mti na kula chakula walichobeba kutoka nyumbani. Baada ya muda, waliendelea kupalilia mimea iliyokuwa tayari imeanza kumea...
14. Kilimo kina faida gani kwa familia?
Answer
Kilimo ni chanzo cha chakula na pia ni njia ya kuendeleza uchumi wa familia.
"Kilimo siyo tu chanzo cha chakula bali pia ni njia ya kuendeleza uchumi wa familia."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni mambo gani muhimu yanayosaidia mimea kukua?Question 15
- Tunga sentensi ukitumia neno "furaha."Question 16
- Eleza tofauti kati ya kitenzi kikuu na kitenzi kisaidizi.Question 17
- Badilisha sentensi hii kuwa wakati uliopita: "Watoto wanacheza bustanini."Question 18
- Taja aina tatu za sentensi kulingana na maana.Question 19
- Eleza maana ya maneno haya: Rafiki Barabara Kioo MwangaQuestion 20