CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 7
Toa maana ya methali "Haraka haraka haina baraka."
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Msamiati, Methali
7. Toa maana ya methali "Haraka haraka haina baraka."
Answer
Kazi inayofanywa kwa haraka bila umakini huweza kuwa na makosa au matokeo mabaya.
Methali hii inatufundisha tufanye mambo polepole na kwa makini.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.