CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 2
Neno "shule" lina silabi ngapi?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Silabi
2. Neno "shule" lina silabi ngapi?
- AMoja
- BMbili
- CTatu
- DNne
Answer
B. Mbili
Shule = shu-le: silabi mbili.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kitenzi ni neno linaloonyesha:Question 3
- Ni ipi kati ya sentensi zifuatazo ni sahihi kisarufi?Question 4
- Katika sentensi "Juma anasoma kitabu," neno "anasoma" ni:Question 5
- Andika nomino mbili zinazoashiria watu.Question 6
- Toa maana ya methali "Haraka haraka haina baraka."Question 7
- Taja faida mbili za kusoma vitabu.Question 8