naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 5

Kwa nini baba hakumaliza kumsomea mtoto hadithi?

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1–5.
Baba: Lala salama.
Mtoto: Asante baba, naomba unisomee hadithi kabla nilale.
Baba: Sawa, enda katika chumba chako.
Mtoto: Nimekuwa nikingoja kusikia hadithi ya kusisimua.
Baba: Jifunike vizuri ili nianze kusoma.
Mtoto: (Anajifunika na kulala vizuri)
Baba: (Anasoma) Hapo zamani za kale katika kijiji cha… Umeshalala. Alamsiki.
(Hakuna jibu. Baba anaondoka.)

Baba ameketi kando ya kitanda akimsomea mtoto wake kitabu

5. Kwa nini baba hakumaliza kumsomea mtoto hadithi?

  1. AAlisahau kitabu
  2. BAlimwambia amepigiwa simu
  3. CMtoto alilala
  4. DHakufurahishwa na hadithi

Answer

C. Mtoto alilala

Baba alisema "Umeshalala".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test